-
Mwanzo 47:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Basi Yosefu akamnunulia Farao ardhi yote ya Wamisri, kwa sababu kila Mmisri aliuza ardhi yake, kwa maana njaa ilikuwa kali sana; ardhi ikawa mali ya Farao.
-