-
Mwanzo 9:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Na Mungu akaendelea kusema: “Hii ndiyo ishara ya agano ninalofanya pamoja nanyi na pamoja na kila kiumbe hai aliye pamoja nanyi, kwa vizazi vyote vijavyo.
-