-
Mwanzo 1:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Kisha Mungu akaumba wanyama wa mwituni kulingana na aina zao na wanyama wa kufugwa kulingana na aina zao na wanyama wote wanaotambaa kulingana na aina zao. Mungu akaona kuwa ni vyema.
-