Mwanzo 14:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Ndipo mfalme wa Sodoma akapiga mwendo, na pia mfalme wa Gomora, mfalme wa Adma, mfalme wa Seboiimu, na mfalme wa Bela, yaani, Soari, nao wakajipanga kivita ili kupigana nao katika Bonde la* Sidimu,
8 Ndipo mfalme wa Sodoma akapiga mwendo, na pia mfalme wa Gomora, mfalme wa Adma, mfalme wa Seboiimu, na mfalme wa Bela, yaani, Soari, nao wakajipanga kivita ili kupigana nao katika Bonde la* Sidimu,