-
Mwanzo 14:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Wakati wa usiku, akavigawa vikosi vyake, yeye na watumishi wake wakawashambulia na kuwashinda. Naye akawafuatia mpaka Hoba, upande wa kaskazini wa Damasko.
-