-
Mwanzo 15:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Mungu akamjibu: “Chukua kwa ajili yangu ndama jike wa miaka mitatu, mbuzi jike wa miaka mitatu, kondoo dume wa miaka mitatu, njiwa tetere, na njiwa mchanga.”
-