Mwanzo 19:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Mara tu walipokuwa wamewatoa nje ya jiji, mmoja wao akawaambia: “Kimbieni msije mkafa! Msitazame nyuma+ wala msisimame mahali popote katika wilaya hii!+ Kimbilieni eneo lenye milima msije mkafagiliwa mbali!”
17 Mara tu walipokuwa wamewatoa nje ya jiji, mmoja wao akawaambia: “Kimbieni msije mkafa! Msitazame nyuma+ wala msisimame mahali popote katika wilaya hii!+ Kimbilieni eneo lenye milima msije mkafagiliwa mbali!”