-
Mwanzo 21:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Kisha Mungu akamfungua macho, naye akaona kisima cha maji, akaenda na kukijaza maji kile kiriba cha ngozi na kumnywesha mwanawe.
-