-
Mwanzo 22:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Ndipo Abrahamu akainua macho yake, na hapo karibu mbele yake kulikuwa na kondoo dume aliyenaswa kwa pembe zake kichakani. Kwa hiyo Abrahamu akaenda na kumchukua kondoo dume huyo na kumtoa dhabihu ya kuteketezwa badala ya mwanawe.
-