-
Mwanzo 23:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 na kumwambia hivi Efroni mbele ya watu: “Tafadhali, nisikilize! Nitakupa kiasi kamili cha fedha kwa ajili ya shamba hilo. Zichukue kutoka mikononi mwangu, ili nimzike humo mtu wangu aliyekufa.”
-