Mwanzo 27:1 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 27 Sasa Isaka alipozeeka na macho yake yalipokuwa yamedhoofika sana asiweze kuona, alimwita Esau+ mwanawe mkubwa na kumwambia: “Mwanangu!” Naye akamjibu: “Naam, baba!”
27 Sasa Isaka alipozeeka na macho yake yalipokuwa yamedhoofika sana asiweze kuona, alimwita Esau+ mwanawe mkubwa na kumwambia: “Mwanangu!” Naye akamjibu: “Naam, baba!”