-
Mwanzo 27:33Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
33 Kisha Isaka akaanza kutetemeka kwa nguvu sana, akasema: “Ni nani basi aliyewinda na kuniletea nyama? Tayari niliila kabla hujafika, nami nikambariki—naye hakika atabarikiwa!”
-