-
Mwanzo 31:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Labani akamuuliza Yakobo: “Umefanya nini? Kwa nini umenichezea akili na kuwachukua mabinti wangu kama mateka waliochukuliwa kwa upanga?
-