-
Mwanzo 31:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Raheli alikuwa amechukua sanamu hizo za terafimu na kuziweka ndani ya kikapu cha wanawake kilicho kwenye matandiko ya ngamia na kuzikalia. Basi Labani alizitafuta kabisa katika hema lote lakini hakuzipata.
-