Mwanzo 31:39 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 39 Sijawahi kukuletea mnyama yeyote aliyeraruliwa na mnyama wa mwituni.+ Mimi mwenyewe nililipia hasara hiyo. Ulidai malipo kutoka kwangu kwa ajili ya mnyama yeyote aliyeibiwa mchana au usiku.
39 Sijawahi kukuletea mnyama yeyote aliyeraruliwa na mnyama wa mwituni.+ Mimi mwenyewe nililipia hasara hiyo. Ulidai malipo kutoka kwangu kwa ajili ya mnyama yeyote aliyeibiwa mchana au usiku.