-
Mwanzo 31:46Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
46 Kisha Yakobo akawaambia ndugu zake: “Okoteni mawe!” Basi wakaokota mawe na kutengeneza rundo la mawe. Halafu wakala chakula juu ya rundo hilo la mawe.
-