-
Mwanzo 31:51Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
51 Labani akaendelea kumwambia Yakobo: “Hili hapa ni rundo la mawe, na hii hapa ni nguzo ambayo nimesimamisha kati yangu mimi na wewe.
-