-
Mwanzo 33:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Esau akasema: “Tafadhali, naomba niwaache baadhi ya watu wangu pamoja nawe.” Yakobo akasema, “Kwa nini ufanye hivyo? Naomba tu nipate kibali machoni pako, bwana wangu.”
-