Kutoka 1:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Hatimaye Farao akawaamuru hivi watu wake wote: “Mnapaswa kumtupa kwenye Mto Nile kila mtoto mchanga wa kiume anayezaliwa na Waebrania, lakini mtamwacha hai kila mtoto wa kike.”+
22 Hatimaye Farao akawaamuru hivi watu wake wote: “Mnapaswa kumtupa kwenye Mto Nile kila mtoto mchanga wa kiume anayezaliwa na Waebrania, lakini mtamwacha hai kila mtoto wa kike.”+