-
Kutoka 4:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Kisha Mungu akamwambia: “Urudishe mkono wako kwenye mkunjo wa juu wa vazi lako.” Basi akaurudisha mkono wake ndani ya vazi lake. Alipoutoa katika vazi lake, ulikuwa umerudia hali yake na kuwa kama sehemu nyingine za mwili wake!
-