-
Kutoka 4:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Kisha Musa akamchukua mke wake na wanawe na kuwapandisha juu ya punda, akaanza safari ya kurudi nchini Misri. Pia, Musa aliichukua ile fimbo ya Mungu wa kweli mkononi mwake.
-