-
Kutoka 7:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Basi Musa na Haruni wakaenda kwa Farao na kufanya kama tu Yehova alivyokuwa amewaamuru. Haruni akaitupa chini fimbo yake mbele ya Farao na watumishi wake, nayo ikawa nyoka mkubwa.
-