-
Kutoka 7:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Kwa hiyo, Wamisri wote walikuwa wakichimba kandokando kuzunguka Mto Nile wakitafuta maji ya kunywa, kwa sababu hawangeweza kunywa maji yoyote ya Mto Nile.
-