-
Kutoka 9:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Kwa hiyo, waambie watu watoe mifugo yote na vitu vyenu vyote vilivyo shambani na kuviingiza ndani ya nyumba. Kila mwanadamu na mnyama ambaye atapatikana shambani na ambaye hatakuwa ameingizwa ndani ya nyumba atakufa mvua hiyo ya mawe itakapomnyeshea.”’”
-