-
Kutoka 9:31Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
31 Sasa mimea ya kitani na shayiri ilikuwa imeharibiwa kabisa na mvua, kwa sababu mimea ya shayiri ilikuwa na masuke na mimea ya kitani ilikuwa imechanua maua.
-