-
Kutoka 10:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Kisha Yehova akasababisha upepo huo ubadili mkondo, nao ukawa upepo wenye nguvu sana wa magharibi, ukawapeperusha nzige hao na kuwapeleka katika Bahari Nyekundu. Hakuna nzige hata mmoja aliyebaki katika eneo lote la Misri.
-