-
Kutoka 10:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Farao akamwambia: “Ondoka mbele yangu! Usithubutu kuuona uso wangu tena, kwa maana siku utakapouona uso wangu, utakufa.”
-