-
Kutoka 12:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Msile sehemu yoyote ya nyama hiyo ikiwa mbichi au ikiwa imechemshwa, yaani, ikiwa imepikwa kwa maji, lakini ichomeni juu ya moto, kichwa chake pamoja na miguu yake na viungo vyake vya ndani.
-