Kutoka 13:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Kila mzaliwa wa kwanza wa punda utamkomboa kwa kondoo, na usipomkomboa, basi unapaswa kumvunja shingo. Nawe unapaswa kumkomboa kila mzaliwa wa kwanza wa kiume kati ya wanao.+
13 Kila mzaliwa wa kwanza wa punda utamkomboa kwa kondoo, na usipomkomboa, basi unapaswa kumvunja shingo. Nawe unapaswa kumkomboa kila mzaliwa wa kwanza wa kiume kati ya wanao.+