Kutoka 15:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Ulipuliza bahari kwa pumzi yako, ikawafunika;+Walizama kama madini ya risasi katika maji makuu.