-
Kutoka 18:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Kwa hakika utachoka, wewe na watu hawa walio pamoja nawe, kwa sababu mzigo huu ni mkubwa sana kwako na huwezi kuubeba peke yako.
-