-
Kutoka 21:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Ikiwa anaweza kutoka kitandani na kutembea nje kwa kutumia fimbo, basi yule aliyempiga hataadhibiwa. Atamlipa tu fidia kwa ajili ya wakati aliopoteza alipokuwa kitandani mpaka atakapopona kabisa.
-