-
Kutoka 21:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Lakini ikiwa ng’ombe dume alizoea kuwapiga watu pembe na mwenyewe akaonywa lakini hakumfunga, naye amuue mwanamume au mwanamke, ng’ombe dume huyo anapaswa kupigwa mawe na mwenye ng’ombe dume huyo anapaswa kuuawa pia.
-