Kutoka 21:32 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 32 Ng’ombe dume huyo akimpiga pembe mtumwa wa kiume au wa kike, mwenye ng’ombe dume huyo atamlipa bwana wa mtumwa huyo shekeli 30,* na ng’ombe dume huyo atauawa kwa kupigwa mawe. Kutoka Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 21:32 Ufahamu, uku. 493
32 Ng’ombe dume huyo akimpiga pembe mtumwa wa kiume au wa kike, mwenye ng’ombe dume huyo atamlipa bwana wa mtumwa huyo shekeli 30,* na ng’ombe dume huyo atauawa kwa kupigwa mawe.