-
Kutoka 21:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Au ikiwa ilijulikana kwamba ng’ombe dume alizoea kupiga kwa pembe lakini mwenye ng’ombe dume huyo hakumfunga, lazima alipe ng’ombe dume kwa ng’ombe dume, kisha ng’ombe dume aliyekufa atakuwa wake.
-