-
Kutoka 22:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 “Mtu yeyote akiwalisha wanyama wake katika shamba au shamba la mizabibu la mtu mwingine, atalipa kwa mazao bora ya shamba lake mwenyewe au mazao bora ya shamba lake mwenyewe la mizabibu.
-