-
Kutoka 22:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 “Moto ukiwaka na kuenea katika vichaka vya miiba na kuteketeza masuke au nafaka iliyo shambani au shamba, yule aliyewasha moto huo lazima alipie kilichoteketea.
-