-
Kutoka 23:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 “Hupaswi kutoa damu ya dhabihu yangu pamoja na kitu chochote kilichotiwa chachu. Na dhabihu za mafuta zinazotolewa katika sherehe zangu hazipaswi kukaa usiku kucha mpaka asubuhi.
-