-
Kutoka 25:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Nawe utatengeneza pete nne za dhahabu na kuzifunga sehemu ya juu ya miguu yake minne, pete mbili upande mmoja na pete mbili upande wa pili.
-