-
Kutoka 26:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Vitambaa vitano vya hema la ibada vitaunganishwa pamoja na kuwa kitambaa kimoja kirefu, na vitambaa vile vingine vitano vitaunganishwa pamoja na kuwa kitambaa kimoja kirefu.
-