-
Kutoka 26:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Kisha utatengeneza vitanzi 50 kwenye upindo wa kitambaa cha kwanza, kwenye kipande cha mwisho kabisa, na vitanzi 50 kwenye upindo wa kitambaa cha pili, mahali vitakapounganishwa.
-