-
Kutoka 26:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 na fito tano kwa ajili ya viunzi vya upande wa pili wa hema la ibada, na fito tano kwa ajili ya viunzi vya sehemu ya nyuma ya hema la ibada, upande wa magharibi.
-