-
Kutoka 28:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Unapaswa kuweka kwenye kifuko hicho mawe yaliyopangwa katika safu nne. Safu ya kwanza itakuwa na zabarijadi, topazi, na zumaridi.
-