- 
	                        
            
            Kutoka 28:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
25 Kisha utatia ncha mbili za zile kamba mbili katika vile vifuko viwili vya mabegani, nawe unapaswa kuzifunga ncha hizo kwenye vipande viwili vya efodi, sehemu ya mbele.
 
 -