-
Kutoka 28:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Litakuwa na nafasi ya kupitishia kichwa katikati upande wa juu. Sehemu hiyo itakuwa na ukingo uliofumwa kuizunguka. Itakuwa na ukingo kama wa koti la vita ili isiraruke.
-