-
Kutoka 28:33Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
33 Kwenye upindo wake wote, utatengeneza makomamanga ya nyuzi za bluu, sufu ya zambarau, kitambaa cha rangi nyekundu, na kutia kengele za dhahabu katikati ya makomamanga.
-