-
Kutoka 29:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Chukua pia mkate wa mviringo na mkate wa mviringo uliokandwa kwa mafuta na mkate mwembamba kutoka katika kile kikapu cha mikate isiyo na chachu kilicho mbele za Yehova.
-