-
Kutoka 30:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Pia, utaitengenezea pete mbili za dhahabu chini ya ukingo wake kwenye pande zake mbili zinazoelekeana, na pete hizo zitashikilia fito za kubebea madhabahu.
-