Kutoka 30:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Hampaswi kufukiza uvumba usio halali+ au kutoa juu yake dhabihu ya kuteketezwa au toleo la nafaka, wala hampaswi kumimina juu yake toleo la kinywaji.
9 Hampaswi kufukiza uvumba usio halali+ au kutoa juu yake dhabihu ya kuteketezwa au toleo la nafaka, wala hampaswi kumimina juu yake toleo la kinywaji.