-
Kutoka 33:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Watu wote walipoona nguzo hiyo ya wingu ikisimama kwenye mlango wa hema, kila mmoja wao alisimama na kuinama chini kwenye mlango wa hema lake.
-